Kanisa la Mtaa
ShareLifeAfrica (Swahili)

Kanisa la Mtaa

2025-10-16
Kukutana pamoja na kanisa lako la mtaa—ambalo ni upanuzi wa kanisa duniani kote—ni muhimu sana. Kila kanisa la mtaa ni la kipekee kwa kuwa ni mchakato na matokeo ya uzoefu wa ushirika wa Kikristo. Yaani, kanisa la mtaa ni mahali ambapo ushirika unakuzwa na kuonyeshwa na mfano wa ushirika wetu wa Kikristo kwa ulimwengu. Na kuna njia nyingi ushirika wetu katika Kristo unaweza kukuzwa kupitia kanisa la mtaa. Katika Matendo sura ya pili, tunaona mfano wa waamini wakikutana pamoja ili kumega "mk...
View more
Comments (3)

More Episodes

All Episodes>>

Get this podcast on your phone, Free

Create Your Podcast In Minutes

  • Full-featured podcast site
  • Unlimited storage and bandwidth
  • Comprehensive podcast stats
  • Distribute to Apple Podcasts, Spotify, and more
  • Make money with your podcast
Get Started
It is Free