Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook
Swahili Tek

Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook

2020-05-12
Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushindani katika kipindi hiki ambacho watu Google na Microsoft zinashindana kuhakikisha zinapata watumiaji wengi. Maboresho hayo ni kuzuia "Reply to all" isilete kero endapo ukiwa kwenye email yenye watu wengi; Outlook mails zitaweza kutuma email baadae kutokana na muda utakaopendelea (Send Later option);...
View more
Comments (3)

More Episodes

All Episodes>>

Get this podcast on your phone, Free

Create Your Podcast In Minutes

  • Full-featured podcast site
  • Unlimited storage and bandwidth
  • Comprehensive podcast stats
  • Distribute to Apple Podcasts, Spotify, and more
  • Make money with your podcast
Get Started
It is Free