Msamaria Mwema
ShareLifeAfrica (Swahili)

Msamaria Mwema

2023-07-03
Unasikiliza ShareLifeAfrica! "Jirani yangu ni nani?" Je, unakumbuka wakati mtaalamu wa Sheria ya Kiyahudi alipomwuliza Yesu swali hili katika Luka kumi? Jibu la Yesu lilikuwa nini? Yesu alitoa mfano wa mtu aliyepigwa na kuachwa karibu kufa kando ya barabara. Kuhani na Mlawi walipita na hawakufanya lolote kusaidia. Lakini mwanamume Msamaria—aliyeonwa kuwa adui wa Waisraeli—alisimama na kumtunza Myahudi huyo aliyeumizwa. Yesu aliuliza, "Ni yupi kati ya hawa watatu aliyekuwa jirani yak...
View more
Comments (3)

More Episodes

All Episodes>>

Get this podcast on your phone, Free

Create Your Podcast In Minutes

  • Full-featured podcast site
  • Unlimited storage and bandwidth
  • Comprehensive podcast stats
  • Distribute to Apple Podcasts, Spotify, and more
  • Make money with your podcast
Get Started
It is Free