Yesu ni Mwokozi wetu
ShareLifeAfrica (Swahili)

Yesu ni Mwokozi wetu

2023-05-29
Unasikiliza ShareLifeAfrica! Katika Mathayo kumi na sita, kumi na tatu hadi kumi na sita, Yesu alikuwa amewauliza wanafunzi wake, "Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?" Vema, walijibu kwamba wengine walidhani alikuwa mmoja wa manabii. Na Yesu alipouliza, “Ninyi mwasema mimi ni nani? Petro akajibu, "Wewe ndiwe Masihi, Mwana wa Mungu aliye hai." Na unajua, hadi leo, watu bado wanauliza swali lile lile: "Yesu ni nani?" Na kwa kuwa Yesu ni Mungu, jibu la swali hilo ni kubwa mno kujibu kwa d...
View more
Comments (3)

More Episodes

All Episodes>>

Get this podcast on your phone, Free

Create Your Podcast In Minutes

  • Full-featured podcast site
  • Unlimited storage and bandwidth
  • Comprehensive podcast stats
  • Distribute to Apple Podcasts, Spotify, and more
  • Make money with your podcast
Get Started
It is Free