Your Gospel - presented in Swahili by Rev Erastus Sorobi of Hope Family Church, Nairobi from a noisy city.
Read and listen to John 3: 16 in Swahili - kindly sent by Rev Erastus.
Injili yako katika Swahili
Yohana 3:16
Tafsiri Mpya ya Kuishi
16 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
maombi ya Wokovu. Bwana Mpendwa, samahani kwa jinsi nilivyoishi maisha yangu. Kwa matendo yangu...Maneno yangu, yaliyoandikwa na kusemwa, mawazo na mitazamo yangu, ahadi zangu zilizovunjika na jinsi nilivyowaangusha watu.
Tafadhali naomba unisamehe.
Tafadhali nisaidie kutubu- kugeuka kutoka kwa mambo yote mabaya katika maisha yangu. Tafadhali njoo maishani mwangu sasa kwa Roho wako ili uwe Bwana na Mwokozi wangu milele na unisaidie kuwa mtu unayetaka niwe. Amina