Field Marshal Muthoni wa Kirima | Kiswahili
KaBrazen

Field Marshal Muthoni wa Kirima | Kiswahili

2024-11-02
Ardhi kuibwa, ndimi zenye sumu na safari ya kishujaa! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi murua inayohusu msichana aliyeota juu ya uhuru wa kweli. Katika ulimwengu wa kutisha ambapo vyura wasio na rangi wala nyoyo wamenyakua ardhi na hata kubadili nyoyo za watu wake, Muthoni mdogo kamwe hakati tamaa. Muthoni anatukumbusha kwamba hatua kwa hatua, hata sisi tunaweza kufikia uhuru wa kweli kwa kutokata tamaa katika kutimiza ndoto zako.   Zingatia kwa makini: Kupigwa ...
View more
Comments (3)

More Episodes

All Episodes>>

Get this podcast on your phone, Free

Create Your Podcast In Minutes

  • Full-featured podcast site
  • Unlimited storage and bandwidth
  • Comprehensive podcast stats
  • Distribute to Apple Podcasts, Spotify, and more
  • Make money with your podcast
Get Started
It is Free