Silaha za Mungu
ShareLifeAfrica (Swahili)

Silaha za Mungu

2023-04-17
Unasikiliza ShareLifeAfrica! "Iweni hodari katika Bwana na katika uweza wake mkuu; Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuzipinga hila za Ibilisi." Inapatikana katika Waefeso sita, huu ni utangulizi wa sehemu maarufu ya Biblia kuhusu silaha za Mungu. Una mshipi wa kweli, dirii ya haki kifuani, miguu yetu ikiwa imevikwa utayari utokao katika Injili ya amani, ngao ya imani, chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho (ambao ni Neno la Mungu) . Haya yote ni mambo muhimu ambayo tunayo katika kupambana na adui kila...
View more
Comments (3)

More Episodes

All Episodes>>

Get this podcast on your phone, Free

Create Your Podcast In Minutes

  • Full-featured podcast site
  • Unlimited storage and bandwidth
  • Comprehensive podcast stats
  • Distribute to Apple Podcasts, Spotify, and more
  • Make money with your podcast
Get Started
It is Free