Hii ni utangulizi wa mfululizo wa vipindi tofauti vya Irie Vibes. Vipindi vinarekodiwa katika studio za Irie Productions zilizopo Tegeta, Dar Es Salaam, Tanzania.
Kipindi kinatangazwa na Gotta Irie, na mfululizo unaofuata utakuwa na muziki, mazungumzo, na majadiliano mengine yatakayojitokeza. Ni kipindi cha kirafiki na kijamii zaidi.
Karibu!
view more